Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia wananchi Rulenge
Rais Dkt. Kikwete akihutubia umati mkubwa waliofurika katika kijiji cha Rulenge
Umati wa watu ukimsikikliza Rais Dt. kikwete kijiji cha Rulenge
Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi profesa Anna Tibaijuka akielezea baraza la ardhi Waziri wa kilimo Christopher Chizza akielezea mipango kabambe ya kilimo Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe aklieleza mipango kabambe ya maji Waziri wa nishati na madini profesa sospeter muhongo akieleza mikakati
0 comments:
Post a Comment