Balozi
wa China nchini Tanzania Lu Youqing, akitoa hotuba ya kuwakaribisha
watoto sita ambao baba zao walifariki dunia wakati wa ujenzi wa Reli ya
Tazara kwenye hoteli ya Great Wall Restaurant iliyopo Osterbay jijini
Dar esa Salaam, jana jioni. Halfa hiyo ilihusisha wafanyakazi
waliokuwepo wakati huo.

Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Reli ya Tazara, Ronald Khiri akitoa hotuba ya
kuwakaribisha watoto sita ambao baba zao walifariki dunia wakati wa
ujenzi wa Reli ya Tazara.

Mmoja
wa watoto wa wataalamu wa ujenzi wa Reli ya Tazara, Liu Yuan Hong
akitoa heshima mara baada ya kuzuru leo katika kaburi la baba yake kwa
mara ya kwanza kwenye makaburi yaliyoko Gongolamboto jijini Dares
Salaam.

Mmoja
wa watoto wa wataalamu wa ujenzi wa Reli ya Tazara, Zhang Jun Juan
akilia kwa uchungu baada ya kuzulu leo kaburi la baba yake kwa mara ya
kwanza marehemu Zhang Zhen Zong kwenye makaburi yaliyoko
Gongolamboto jijini Dares Salaam

Balozi
wa China nchini Tanzania Lu Youqing, akifafanua jambo kwa waandishi
wa habari wakati hafla ya kuwakaribisha watoto sita ambao baba zao
walifariki dunia wakati wa ujenzi wa Reli ya Tazara kwenye hoteli ya
Great Wall Restaurant iliyopo Osterbay jijini Dar esa Salaam katika
hafla iliyofanyika jana jioni. Halfa hiyo ilihusisha wafanyakazi
waliokuwepo wakati huo.

Baadhi
ya watoto ambao baba zao walifariki dunia wakati wa ujenzi wa Reli ya
Tazara wakiwa katika hafla ya mapokezi kwenye hoteli ya Great Wall
Restaurant iliyopo Osterbay jijini Dar esa Salaam jana jioni. Halfa hiyo
ilihusisha wafanyakazi waliokuwepo wakati huo.

Baadhi
ya wafanyakazi waliokuwepo wakati wa ujenzi wa Reli ya Tazara wakiwa
katika picha ya pamoja, kushoto ni Ma Lei, katikati ni Liu Qiang na
kulia ni Sang Tian Kang.
Picha zote Magreth Kinabo – Maelezo
0 comments:
Post a Comment