Naibu
Waziri wa Elimu katika Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Kassim Majaliwa
akikabidhi ngao iliyotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa
mshindi wa mashindano ya TIKA yaliyofanyika mjini Morogoro kwa Kiongozi
wa timu ya Garage FC Jumanne Wida baada ya kuibuka washindi.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Emanuel Humba akikabidhi ngao
kwa Shaaban Mrisho kwa kuibuka washindi katika mashindano ya TIKA
yaliyodhaminiwa na NHIF.



Kikosi
cha Timu ya Garage FC ambacho kiliibuka mshindi katika mashindano ya
TIKA wakiwa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Mfuko uliodhamini
mashindano hayo
0 comments:
Post a Comment