Thursday, July 11, 2013


SONY DSCMshauri wa Biashara wa Kimataifa wa kujitegemea wa Kampuni  ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, James Rugemarila (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo ofisini kwake, kuhusu baadhi ya wafanyabiasha kuendelea kuuza kinywaji cha Windhoek kisichokuwa na Code Namba MB66 hivyo kukiuka amri ya mahakama inayokataza kusambaza na kuuza kinywaji hicho. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Kampuni hiyo Tanzania, Neil Stainton na Mshauri wa Masuala ya Usalama wa Mabibo, Kamala Stephen.SONY DSCMshauri wa Biashara wa Kimataifa wa kujitegemea wa Kampuni  ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, James Rugemarila (kulia), akiteta jambo na Meneja Mkuu wa Kampuni hiyo Tanzania, Neil Stainton.SONY DSCMshauri wa Masuala ya Usalama wa Mabibo, Kamala Stephen (kulia), akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu kutii sheria bila ya shuruti kama ilivyoagizwa na mahakama ya Kinondoni kwa wafanyabiashara kuacha kuuza wala kuzambaza kinywaji cha Windhoek kisicho na Code namba MB66.SONY DSCMkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabibo, Benedictor Rugemarila (kulia), akitoa ufafanuzi kuhusu bia ya Windhoek.SONY DSCMeneja Mkuu wa Kampuni hiyo Tanzania, Neil Stainton (kushoto), akichangia kutoa ufafanuzi kuhusu bia ya WindhoekSONY DSCWadau wakiwa kwenye mkutano huoSONY DSCBaadhi ya waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video