

Watoa Mada katika semina hiyo Patrick Ngowi kushoto na Zeno Ngowi wakiteta jambo wakati wa semina hiyo.

Msanii Mrisho Mpoto ambaye pia ametoa mada katika semina hiyo
Mtoa mada Patrick Ngowi akiingia kwenye ukumbi wa mkutano
Mkurugenzi wa Maendeleo na Utafiti Clouds FM Bw. Ruge Mutahaba akizungumza katika semina hiyo .


Khamis Mandi B. 12 akitoa mchango wake katika semina hiyo.
Moungozaji wa semina hiyo Gerald Hando akizungumza na wasanii mbalimbali katika semina


Shafii Dauda na Diva wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo
0 comments:
Post a Comment