Tuesday, April 16, 2013

>>KABLA YA STOKE, RVP, ROONEY WALIAMBIWA MSIMU UNAANZA LEO!!

>>WADAI: ‘HATUTAKI POINTI 7 KUTWAA UBINGWA, TUNATAKA ZOTE!!’
MASUPASTAA wa Manchester United, Wayne Rooney na Robin van Persie, wamepasua kuwa kabla ya Mechi ya Jumapili waliyoifunga Stoke City Bao 2-0 na kubakiza Pointi 7 katika Mechi 6 kutwaa Ubingwa wa 20 kwa Klabu hiyo yao, Meneja wao Sir Alex Ferguson, aliwahamasisha kwa kuwaambia Msimu wao unaanza Siku hiyo na kazi yao ni moja tu-KUSHINDA MECHI ZOTE.
Jumatano Usiku, Man United, wanaoongoza Ligi kwa Pointi 15, na Timu ya Pili, Man City, wote watakuwa dimbani kwa Man City kuwa Nyumbani Etihad kucheza na Wigan, Timu ambayo ndiyo watacheza nayo Fainali ya FA CUP, na Man United watakuwa ugenini Upton Park kucheza na West Ham.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
MECHI ZA LIGI ZILIZOBAKI:
MAN CITY
[PTS 65, MECHI BADO 7]

MAN UNITED
[PTS 80, MECHI BADO 6]

Man City v Wigan
Tottenham v Man City
Man City v West Ham
Swansea v Man City
Reading v Man City
Man City v Norwich
Man City V West Brom
17 Apr
21 Apr
27 Apr
4 Mei
12 Mei
19 Mei
?????
West Ham v Man Utd
Man Utd v Aston Villa
Arsenal v Man Utd
Man Utd v Chelsea
Man Utd v Swansea
West Brom v Man Utd

17 Apr
22 Apr
27 Apr
5 Mei
12 Mei
19 Mei

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
RVP_ROONEY_CLEVERLYMAHESABU YA UBINGWA
Ikiwa Man City watateleza na Wigan kwa kufungwa na Man United kushinda na West Ham, Man United wanaweza kutwaa Ubingwa Jumatatu inayofuata wakicheza na Aston Villa na kushinda Uwanjani Old Trafford lakini pia wanaweza kuwa Mabingwa Siku moja kabla ya Mechi yao hiyo ikiwa Man City watapoteza Mechi yao na Tottenham itakayochezwa White Hart Lane Siku ya Jumapili.
Lakini endapo, Man City atazifunga Wigan na Tottenham na Man United kuzifunga West Ham na Aston Villa, Ubingwa kwa Man United utakuja hapo Aprili 27 Uwanjani Emirates watakapocheza na Arsenal na kuhitaji sare tu.
RVP & ROONEY
Wakiongelea hali ya Ligi kwa Timu yao Man United, Wayne Rooney na Robin van Persie, waliweka waziwazi nia yao kushinda Mechi zote na sio kupata hizo Pointi 7 tu.
Rooney alisema: “Lengo letu ni kushinda Mechi zote! Kabla kucheza na Stoke, Sir Alex Ferguson alituambia Msimu wetu unaanza sasa na tunatakiwa tushinde Mechi zote! Sasa tumebakisha 6 tu, tunataka kushinda zote! Tukishinda zote tutaweka rekodi mpya na hilo ni lengo safi tu!”
Nae Van Persie, aliefunga Bao walipoitwanga Stoke Bao 2-0 na kumaliza ukame wa Magoli wa Mechi 10, alitamka: “Hatutaki kujaribu kutwaa Ubingwa wa Ligi kwa kutwaa Pointi zinazohitajika tu, tunataka kupata Pointi zote!”
RATIBA:
Jumanne Aprili 16
[Saa 3 Dak 45 Usiku]
Arsenal v Everton
Jumatano Aprili 17
[Saa 3 Dak 45 Usiku]
Man City v Wigan
West Ham v  Man United
[Saa 4 Usiku]
Fulham v Chelsea
Jumamosi Aprili 20
[Saa 11 Jioni]
Fulham v Arsenal
Norwich v Reading
QPR v Stoke
Sunderland v Everton
Swansea v Southampton
West Brom v Newcastle
West Ham v Wigan
Jumapili Aprili 21
[Saa 9 na Nusu Mchana]
Tottenham v Man City
[Saa 12 Jioni]
Liverpool v Chelsea
Jumatatu Aprili 22
[Saa 4 Usiku]
Man United v Aston Villa
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Man United
32
26
2
4
73
33
40
80
2
Man City
31
19
8
4
57
27
30
65
3
Arsenal
32
17
8
7
64
35
29
59
4
Chelsea
31
17
7
7
61
33
28
58
5
Tottenham
32
17
7
8
55
40
15
58
6
Everton
32
14
13
5
51
37
14
55
7
Liverpool
33
13
11
9
59
40
19
50
8
WBA
32
13
5
14
42
43
-1
44
9
Swansea
32
10
11
11
43
42
1
41
10
Fulham
32
10
10
12
44
48
-4
40
11
Southampton
33
9
11
13
47
54
-7
38
12
West Ham
32
10
8
14
36
45
-9
38
13
Newcastle
33
10
6
17
42
59
-17
36
14
Norwich
33
7
14
12
31
52
-21
35
15
Sunderland
33
8
10
15
37
45
-8
34
16
Stoke City
33
7
13
13
28
41
-13
34
17
Aston Villa
33
8
10
15
36
60
-24
34
18
Wigan
31
8
7
16
37
57
-20
31
19
QPR
33
4
12
17
29
54
-25
24
20
Reading
33
5
9
19
36
63
-27
24

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video