Dakika 45 za kipindi cha kwanza za mchezo wa timu ya taifa ya Tanzania, taifa stars dhidi ya Morroco zimemalizika uwanja wa taifa na mabao ni 0-0.
Timu zote zinashambuliana, stars wamekosa nafasi za kufunga hali kadhalika na Morroco.
Tunasuburi kipindi cha pili kuona nini kitatokea, kila la heri stars.
0 comments:
Post a Comment