Waziri
wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara
akimkabidhi kikombe cha ushindi Kocha wa Timu ya Taifa ya mpira wa
kikapu Misri, Tarek Elghannam mara baada ya kupata ushindi katika mchezo
wa fainali wa mpira huo wa kanda ya tano ya Afrika uliofanyika jana
usiku kwenye uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dares Salaam. Katika mchezo
huo timu hiyo iliibuka mshindi baada ya kuapta pointi 82 dhidi ya
mpinzani wake Rwanda aliyepata pointi 76.
Waziri
wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akikagua
Timu ya Taifa ya mpira wa kikapu ya Rwanda kabla ya kuanza kwa
mchezo wa fainali wa mpira huo wa kanda ya tano ya Afrika uliofanyika
jana usiku kwenye uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dares Salaam.
PICHA NA JOHN BUKUKU FULLSHANGWE
0 comments:
Post a Comment