Tuesday, January 22, 2013

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib
Bilal ameiwakilisha Tanzania katika mazishi ya mpigania uhuru na mwana
ukombozi wa Afrika Komredi Landa John Nkomo yaliyofanyika jijini
Harare katika Makaburi ya Mashujaa jijini Harare


Komredi Nkomo hadi anafikia mauti alikuwa Makamu wa Rais was Zimbabwe
na Makamu Mwenyekiti wa Chama kilichopigania uhuru wa nchi hiyo cha
ZANU-PF Kilicho chini ya Rais Robert Mugabe.
MAZISHI YA Komredi Nkomo



Katika mazishi ya shujaa Nkomo yaliyoongozwa na Rais Mugabe pia
yamehudhuriwa na Makamu wa Rais wa Afrika Kusini, Zambia, Botswana na
Namibia.

Akilihutubia taifa Rais Mugabe alisema, Hayati Nkomo alikuwa mfano
thabiti wa amani katika Afrika na hata wakati anapelekwa Afrika Kusini
kutibiwa kabla ya mauti kumfika, alikuwa kinara katika mazungumzo ya
kufikia mkataba wa Makubaliano ya vyama vya siasa juu ya Katiba
itakayotumika kwa jili ya uchaguzi mkuu ujao nchini Zimbabwe,


Licha ya kuhudhuria mazishi ya Hayati Nkomo, Dk.Bilal pia alipata
fursa ya kumtembelea Rais Mugabe ofisini kwake Ikulu jijini Harare na
kisha kukutana na baadhi ya Watanzania waishio Zimbabwe

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video