 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi. Dk Ali Mohamed Shein,akitoa salamu za kuukaribisha Mwaka
mpya wa 2013,kwa wananchi wa Zanzibar na Watanzania wote kwa
ujumla,pia aliwasihi wananchi kuendela kushirikiana na Serikali yao
katika kuendeleza mipando mbali mbali ya maendeleo,na kuwataka kuwa
walinzi wa rasilimali pia kuzingatia taratibu za kisheria, kwa kuwa
na elimu bora ya rasilimali hizo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]




0 comments:
Post a Comment