Mabingwa wa England, Chelsea, rasmi wametangaza jezi mpya za nyumbani na ugenini watakazotumia msimu mpya wa 2017/2018.
Jezi hizo zenye chapa ya kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike imezinduliwa kwa mara ya kwanza klabuni hapo katika historia ya miaka yake 112/

Jezi ya nyumbani

Jezi ya ugenini
0 comments:
Post a Comment