Monday, September 19, 2016

Thabani Kamusoko awaondoa wasiwasi mashabiki wote wa Yanga baada ya kuumia kwenye mchezo wa Jumamosi dhidi ya Mwadui uliofanyika mjini Shinyanga.

Katika mchezo huo ilifanyika katika Uwanja wa Kambarage, Kamusoko alitolewa nje baada ya kuumia na nafasi yake kuchukuliwa na Haruna Niyonzima.

Mashabiki wengi wa Yanga walipata wasiwasi kutokana na kukabiliwa na mchezo mkali dhidi ya mahasimu wao utaochezwa Oktoba Mosi, hivyo endapo Kamusoko atakaosekana ingekuwa pengo kubwa kwao hasa ukizingatia kiwango kizuri wanachoonesha Simba kwa sasa,

Kupitia ukuraswa wake wa Facebook, Kamusoko aliandika hivi: Another 3 points in the bag...thanks for your support....im fine its not that bad."

Akimaanisha: Pointi tatu nyingine muhimu mfukoni, asanteni sana kwa sapoti yenu...niko sawa, sio kivile."

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video