Mshambuliaji wa klabu ya Young Africans Paul Nonga ameamua kuomba kuachana na timu hiyo baada kukosa nafasi ya kucheza katika kikosi cha ...
REUS ATEMWA KIKOSI CHA UJERUMANI UERO SIKU YAKE YA KUZALIWA, TWEET YA GOTZE YAZUA GUMZO
Kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Joachim Loew amemwacha nyota wa Borussia Dortmund Marco Reus kwenye kikosi cha wachezaji 23 kitakac...

TWIGA STARS KUVAANA NA RWANDA KIGALI
Timu ya soka Taifa ya Wanawake ya Tanzania – Twiga Stars, inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Rwanda, utakaofany...

WAGABON KUAMUA STARS NA MISRI
Waamuzi wanne kutoka Gabon, ndio watakochezesha mchezo wa kimataifa kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Mapharao wa Misri utakaofanyika Ju...

RASHRORD AJUMISHWA KIKOSI CHA ENGLAND EURO 2016, ORODHA YA WACHEZAJI WENGINE IKO HAPA

KUELEKEA COPA AMERICA, COSTA RICA YAPATA PIGO
Kipa wa Costa Rica na Real Madrid Keylor Navas ataikosa michuano ya Copa America baada ya kupata majeraha ya nyama za mguu wa kushoto yal...

INIESTA ARUSHA KIJEMBE KWA REAL MADRID
Nahodha wa Barcelona Andres Iniesta anaamini kwamba Real Madrid pia watakuwa na huzuni kutokana na kukosa taji la La Liga licha ya kushin...

MAJWEGA AMLILIA MAYANJA, ASHUSHA WARAKA MZITO
KIUNGO wa wa zamani wa Azam aliyecheza Simba kwa mkopo, Brian Majwega, amemtuhumu kocha wake Jackson Mayanja kwa kumfanyia roho mbaya na ...

MSUVA ANA NENO KWA MWAMBUSI
WINGA wa Yanga, Simon Msuva amefichua kuwa mafanikio yako katika msimu uliomalizika yalikolezwa na kocha wao msaidizi,Juma Mwambusi. ...
TIZAMA HAPA REKODI YA JOSE MOURINHO DHIDI YA GUARDIOLA, WENGER, RANIERI, KLOPP, POCHETTINO NA CONTE
Jose Mourinho ameteuliwa kuwa kocha wa mpya wa Manchester United na sasa akili zote za watu zina shauku ya kuona namna msimu ujao wa li...

ULILIONA GOLI LA PAYETI JANA DHIDI YA CAMEROON?NIMEKUWEKEA HAPA
Dimitri Payet ni fundi wa kupiga mipira ya adhabu. Hilo halina ubishi. Amekuwa akifanya hivyo msimu wote wa EPL ulioisha akiwa na klabu y...
KWA MARA YA KWANZA MOURINHO ATUA CARRINGTON BAADA YA KUTANGAZWA KUWA KOCHA WA MAN UNITED (VIDEO)
Baada ya kutambulishwa rasmi kama kocha wa Manchester United, Jose Mourinho ameenda kwa mara ya kwanza kwenye uwanja wa Carrington ambao ...

GIROUD AWANYAMAZISHA MASHABIKI WA UFARANSA, APIGA MOJA, UFARANSA IKISHINDA 3-2 DHIDI YA CAMEROON
Olivier Giroud aliripotiwa kuzomewa na mashabiki wa Ufaransa kabla ya mchezo wao dhidi ya Cameroon uliopigwa leo. Wakati akipanda basi la...

BAADA YA KUKOSA PENATI ILIWAKOSESHA UBINGWA WA UEFA DHIDI YA REAL JUANFRAN AANDIKA BARUA KUWAOMBA RADHI MASHABIKI ATLETICO
Beki wa kulia wa Atletico Madrid Juan Francisco Torres maarufu kama 'Juanfran' alifunga penati ya ushindi kwenye Champions Leag...

ARBELOA ARUDISHA KIJEMBE KWA PIQUE (VIDEO)
Inafahamika dhahiri kwamba Gerard Pique na Alvaro Arbeloa hawapikiki chungu kimoja, mwanzoni mwa msimu huu Pique alimuelezea Arbeloa kama...

PLUIJM AANZA KUWAVALIA NJUKA MAZEMBE
Hans Van de Pluijm Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, ameshtukia dili mapema na kuamua kuwaomba viongozi wampatie vide...

MUSA MCHEZAJI BORA WA MEI VODACOM
Mshambuliaji Abdulrahman Musa wa JKT Ruvu ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Mei 2016. Musa katika kinganyiro hich...

RCL YAENDELEA KUTIMUA VUMBI
Michuano ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) msimu wa 2015/2016 inaendelea vizuri katika vituo vinne vya Kagera, Morogoro, Singida na Njom...

MKWASA AISHITUKIA MISRI, WANYAMA NA KAZIMOTO WATOA NENO
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania, Charles Boniface Mkwasa amesema kwamba mchezo ujao kati ya Mapharao wa Misri na Taifa Stars, utak...

ZIDANE ANAWEZA KUDUMU REAL MADRID LAKINI NI MUHIMU KUZINGATIA MAMBO HAYA
Kushinda taji la Champions League ni jambo kubwa sana kwa kocha yoyote barani Ulaya, ni jambo linaleta heshima kubwa na kujenga historia ...

RIO FERDINAND KUPATA SHAVU JIPYA UNITED CHINI YA MOURINHO
Gazeti la Daily Mirror limeripoti kuwa kocha mpya wa Manchester United Jose Mourinho, anataka kumleta mchezaji wa zamani wa klabu hiyo Ri...
MCHEZAJI WA BOSNIA ATOLEWA NJE BAADA YA KUWAPIGA MAKOFI FABREGAS NA AZPILICUETA
Mchezo kati ya Uhispania na Bosnia uliopigwa jana ulikuwa ni wa kirafiki kama ilivyo kawaida kwa timu nyingi kwa sasa lakini, lakini ulik...

KEVIN-PRINCE BOATENG AJIBU MAPIGO BAADA YA KAKA YAKE KUFANYIWA UBAGUZI UJERUMANI, AANDIKA MANENO HAYA
Mchezaji wa kimataifa wa Ghana Kevin-Prince Boateng kupitia akaunti yake ya Instagram amejibu mapigo juu ya ubaguzi wa rangi aliofanyiwa...
PICHA:REAL MADRID WALIVYOTUA NA NDOO YAO YA UEFA JIJINI MADRID NA KUPEWA MAPOKEZI YA MAANA
Picha zaidi ingia hapa

UJERUMANI YAKAA KWA SLOVAKIA, HISPANIA YAPETA (VIDEO)
Ujerumani imepokea kipigo cha tatu ndani ya mechi nne walizocheza huku jana wakiambuliwa kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Slovakia katik...