TEGETE APIGA MBILI, MWADUI IKIITANDIKA RHINO RANGERS 3-1 Mwadui FC imeafanikiwa kutinga hatua ya robo fainali baada ya kuitungua Rhino Rangers ya Tabora magoli 3-1, magoli yakifungwa na Jerryson Tegete (2) na Rashid Mandawa, mchezo uliopigwa kunako dimba la Mwadui Complex, Mwadui Shinyanga.
0 comments:
Post a Comment