Sunday, February 7, 2016

Jose Mourinho
Jose Mourinho amesema yuko mbioni kurejea kundini huku akisisitiza kuwa atabaki nchini Uingereza.
Mara kadhaa vyombo mbalimbali vya habari nchini Uingereza, vimekuwa vikimhusisha Mourinho kuwa mbioni kujiunga na klabu ya Manchester United.
Katika moja ya mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni Mourinho amesema:
"Ili kuwa na furaha iliyokamilika, nahitaji kuwa na kila kitu, hivyo nataka kureje kwenye soka. Nadhani ndio kitu napenda zaidi. Nimefanya kazi kama Meneja tangu mwaka 2000. Kimsingi nitarejea kundi hivi karibuni," alisema.
Aliongeza kuwa: "Kwa wakati huu sina kazi yoyote, na sijui nitaelekea wapi, kwa sababu kwenye mchezo wa mpira wa miguu lolote linaweza kutokea. Lakini, kwa kwa kukuhakikishia, kama familia, maisha yetu yatabaki kuwa nchini England."
 Mourinho akiwa jukwaani nchini Ujeruamani akiangalia mchezo kati ya Hertha Berlin na Dortmund

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video