Staa wa Real Madrid Cristiano Ronaldo sasa rasmi amekuwa mcheza soka mwenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa Instagram baada ya kumzidi nyota wa Barcelona Neymar ambaye hapo awali ndiye alikuwa kileleni.
Posti ya hivi karibuni ya Ronaldo akiwa na mtoto wake, Cristiano Ronaldo Jr., imemsaidia kwa kiasi kikubwa kumpiku Neymar mwenye wafuasi milioni 33.3 huku Ronaldo akifikia idadi ya wafuasi milioni 33.5.
0 comments:
Post a Comment