Wednesday, August 12, 2015

"Tunapenda sana Jose Mourinho kuwa kocha wa Chelsea. Ni kocha mkubwa katika historia ya klabu yetu. Lakini sasa mashabiki wanaendelea kuchoshwa na tabia zake.
Haiwezi kupita siku asitokeze kwenye vichwa vya magazeti kwa habari mbaya.
Tumemaliza suala la kutosalimiana na Arsene Wenger, sasa yupo kwenye bifu mpya tena.
Maamuzi ya Mourinho kumshambulia daktari wetu ni ya kipumbavu. Kumuita daktari ni mjinga, yeye ndiye mjinga zaidi.
Kwanini suala hili lisingeongelewa chumbani?
Maana ya kumshambulia Carneiro hadharani ni nini?
Mwanamke huyo ni mtu maarufu mashabiki na wachezaji wa Chelsea. Kuendelea kurushiana maneno kuelekea mechi yetu kubwa dhidi ya Manchester City wikiendi hii inaleta picha mbaya zaidi.
Nikiwa shabiki wa Chelsea na Mourinho, naamini hii ni moja ya njia yake ya kucheza na akili za watu.
Hataki timu itokee kurasa za nyuma ya magazeti kwasababu ya matokeo mabaya, anahamisha akili za nyota wake kuelekea mechi ya Etihad.
Hili limeniudhi sana. Jose kwa mara nyingine amekosea sana ingawa haitokei mara zote.
Carneiro and Mourinho exchange words on the touchline during Chelsea's draw with Swansea City
Carneiro na Mourinho wakirushiana maneno wakati wa mechi ya Chelsea dhidi ya Swansea CityCarneiro will now be axed from the Chelsea dugout by Mourinho following the incident on Saturday evening
"Carneiro hataondoka Chelsea licha ya kutofautiana na Mourinho jumamosi iliyopita."

Chelsea boss Mourinho gesticulates in anger towards his medical team during his side's 2-2 draw
Chelsea akiifokea timu yake ya Madaktari katika sare ya 2-2 dhidi ya Swansea
The Portuguese tactician runs down the touchline in order to vent his frustration at his medical team 
Mambo hayakuwa mchezo aisee!Mourinho alichukizwa sana
Mourinho claims he knew star playmaker Eden Hazard did not require treatment as he was just tired 
Mourinho  anadai mchezaji wake Eden Hazard hakuhitaji matibabu kwasababu alikuwa amechoka tu
Carneiro looks on as Hazard is helped back to his feet during the 2-2 draw with Swansea City

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video