Monday, August 17, 2015

Raheem Sterling tayari amezoea maisha ya Manchester City akitumia jezi yake mpya namba 7 katika uwanja wa Etihad.
Nyota huyu aliyesajiliwa kutoka Liverpool kwa paundi milioni 49 ameanzisha logo yake ya kibiashara kama alivyofanya Mwanasoka bora wa dunia, Cristiano Ronaldo ambaye hutumia tag ya 'CR7'.
The Manchester City star also had the name of his daughter 'Melody-Rose' on his footwear
Baada ya kupewa jezi namba 7, Raheem anavalia viatu vya rangi ya pink na ameandika jina la mtoto wake wa kike , 'Melody Rose' pamoja na tag ya 'RS7'.
The Real Madrid superstar has turned the tag into a hugely successful global brand
Logo hii inafanana na ya Ronaldo ambaye ameiendeleza na kuwa brand kubwa zaidi duniani.
Sterling (right) in action as Manchester City beat Chelsea 3-0 at the Etihad Stadium on Sunday

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video