Friday, August 14, 2015

Mkataba wa Pedro una kipengele cha paundi milioni 22 kama anataka kuhama kwenda klabu nyingine.
 Sasa hivi mashabiki wa Manchester wanaulizia kuhusu Pedro ambae kwa asilimia kubwa anahusishwa kuhamia Manchester united.
Kwenye mkutano na waandishi wa habari Van Gaal alijibu hivi,”Kuhusu uhamisho ni mchakato, akishasaini basi nitamleta mbele yenu na kusema huyu hapa Pedro,  amesa saini kwa ajili ya Manchester united.”
Van Gaal pia ameeleza anahitaji mchezaji mwenye akili ya ushambuliaji, mwenye kasi na ubunifu.
 Pia alisema kwamba “Nasikia Pedro ni mchezaji wa aina hii”. Kauli hiyo ikaonyesha jinsi gani anamhitaji mshindi huyo wa UEFA Champion League.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video