Kelvin Ndayisenga (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake goli la kwanza
Kiosi cha ‘Wekundu wa Msimbazi’ Simba kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1 mbele ya timu ya URA FC ya Uganda kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa jioni ya leo ikiwa ni mchezo wa kujipima nguvu na kujiandaa kwa ajili ya michuano ya ligi kuu Tanzania bara inayotaraji kuanza mapema mwezi ujao.





0 comments:
Post a Comment