Sunday, August 9, 2015


Klabu ya ARSENAL imeanza vibaya msimu wa 2015/2016 wa ligi kuu ya ENGLAND baada ya kukubali kichapo cha magoli mawili kwa bila kutoka kwa WESTHAM UNITED katika mechi iliyopigwa uwanja wa EMIRATES.
West Ham's travelling supporters go wild inside the Emirates as Zarate is mobbed by his team-mates following his 57th minute goal
Mabao ya Wagonga nyundo wa LONDON yamefungwa na CHEIKHOU KOUYATE  dakika ya 43 na MAURO ZARATE dakika ya 57.

Kwingineko, NEWCASTLE UNITED imetoka sare ya magoli mawili kwa mawili dhidi ya SOUTHAMPTON.


PAPISS CISSE  na GEORGINIO WIJNALDUM wameifungia NEWCASTLE,  wakati GRAZIANO PELLE na SHANE LONG wamecheka na nyavu kwa upande wa SOUTHAMPTON.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video