Liewig (kushoto
Klabu ya Stand United ya Shinyanga inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara imeingia mkataba wa miaka miwili na kocha wa zamani wa Simba, Mfaransa, Patrick Liewig.
Liewig amesaini mkataba huo leo jijini Dar es salaam mbele ya waandishi wa habari.
Stand wamedhamiria kufanya vyema msimu ujao chini ya udhamini wa kampuni ya ACACIA iliyomwaga fedha za kutosha na kumchukua Liewig ni moja ya mipango yao ya kuimarisha benchi la ufundi.
0 comments:
Post a Comment