Manchester United imeshinda 3-1 katika mechi yake ya  pili ya maandalizi ya msimu mpya dhidi ya San Jose Earthquakes.
Magoli ya United kwenye mechi hiyo yamefungwa na  Juan Mata (32), Memphis Depay (37) na 
Andreas Pereira (61).
Bao pekee la kufutia machozi  kwa wenyeji limetiwa kambani na Fatai Alashe dakika ya 42.




0 comments:
Post a Comment