Wakati wanaripoti mechi ya nusu fainali ya Copa America kati ya Chile na Peru usiku wa kuamkia leo, kituo cha runinga cha Colombia kimeth...
Wakati wanaripoti mechi ya nusu fainali ya Copa America kati ya Chile na Peru usiku wa kuamkia leo, kituo cha runinga cha Colombia kimeth...
Mama mzazi wa Sergio Ramos, Paqui Garcia amefanya mahojiano huku akiwa anaendesha gari na kuziambia Camera za TV kwamba; Sergio quiere...
Rais wa Espanyol, Joan Collet amefichua kwamba klabu yake na Real Madrid zimefikia makubaliano yatayomfanya Lucas Vazquez arejee tena Santi...
Geofrey Mwashiuya Na Bertha Lumala, Mbeya 'Hivi karibuni Jerry Muro alitozwa faini ya Sh. milioni tano kutokana na kutoa lugha...
Jerry Muro (kulia) na Geofrey Mwashiuya wakiwa mbele ya waandishi wa habari leo Na Bertha Lumala UONGOZI wa Yanga umesisitiza kuwa...
Nyota wa zamani wa Barcelona Ronaldinho na Samuel Etoo huenda wakaungana tena kukupiga pamoja kwenye klabu ya Antalyaspor ya nchini Ut...
Chelsea wametoa dau la pauni milioni 6 kumtaka kipa Asmir Begovic, 28, kuziba nafasi ya Petr Cech, 33 aliyehamia Arsenal (Telegraph). T...
Ngoma akisaini Mshambuliaji nyota kutoka Zimbabwe, Donald Ngoma amesaini miaka miwili kuichezea Yanga. Ngoma pamoja na kiun...
Azam FC inashusha wachezaji sita mahiri kwa majaribio ya kujiunga na kuimarisha kikosi cha msimu ujao ambacho pia kitawakilisha nchi kwen...
Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kwa msimu wa 2015/2016 itachezwa katika makundi matatu ya timu nane nane kwa mtindo wa nyumbani na ugenini. ...
Kikosi cha timu ya Taifa cha vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U-15) leo kinarejea jijini Dar es salaam kikitokea mkoani Mbeya ambapo ...
Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager inatarajiwa kuondoka nchini siku ya alhami...
Graphic kutoka kwa mchambuzi mmoja wa soka imesambaa kwenye mitandao ikionesha mfumo mpya wa Liverpool wanaoweza kutumia msimu wa 2015-...
SIMBA imempa mkataba wa miaka miwili kocha wa viungo kutoka Serbia, Dusan Mumcilovis atakayekuwa msaidizi wa Kocha Mkuu, Mwingereza Dyl...
Mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Donald Ngoma (kushoto) akiwa na beki wa kulia wa Ghana, Joseoph Tetteh Zutah Joseph Tetteh...
Baada ya kukamilisha usajili wake kutokea Chelsea, Petr Cech amezungumza kwa mara ya kwanza na waandishi wa klabu ya Arsenal. Cech am...
Klabu ya ‘Wekundu wa Mimbazi’ Simba imesema inatarajia kumsanisha mkataba mshambuliaji wa zamani wa Yanga na timu ya taifa ya Uganda Hami...
Tanzania Prisons imemnasa aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Salum Mayanga na tayari ameanza ku...
Mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich leo anatarajia kuanika hadharani bajeti na mipang yote ya ujenzi wa Stamford Bridge mpya. Abramov...
Amependekezwa na Rodgers Sean O'Driscoll yuko tayari kuachia nafasi yake ya ukocha wa timu ya Taifa ya vijana ya England chini ya...
Golikipa mpya wa Arsenal, Petr Cech amepokea vitisho vingi vya kuuawa kutoka kwa mashabiki wanaoaminika kuwa wa Chelsea kupitia mtanda...