Wachezaji wawili wa TP Mazembe wameungana na kocha wao Pamphile Mihayo kugombea nafasi za ubunge kupitia chama cha upinzani.
Nchi ya DRC inategemea kufanya uchaguzi mkuu baadaye mwaka huu.
Golikipa Kidiaba atagombania kwenye jimbo la Lubumbashi ambapo timu yao ya TP Mazembe ina ushabiki mkubwa, Wakati Kasusula atagombania kwenye jimbo la Kisangani.
0 comments:
Post a Comment