
Mchezaji wa Yanga Simon Msuva ame-post kwenye instagram akiwatakia kila la heri wachezaji wenzake ambao wameingia uwanjani leo kucheza na Yanga.
Kwanini anawapa kila la heri na kusema atawamiss sana, jibu ni kwamba Msumva ameenda nchini South Africa kwa ajili ya majaribio na timu Orlando Pirates.
Ripoti zinasema kwamba uongozi wa Yanga ulipokea maombi kutoka kwa Orlando lakini hawakumruhusu aende hadi msimu uishe. Baada ya kuchukua ubingwa wa ligi hatimaye Yanga imemruhusu Msumva kwenda kwenye majaribio.
Olrando Pirates inashika nafasi ya pili kwenye msimu wa ligi kuu nchini Africa Kusini. Sasa kama Msumva akifuzu majaribio haya itakua bye bye tena kucheza Yanga lakini kila mtu atafurahia mafanikio yake.

Hii ni post ya Simon Msumva akiwatakia kila la heri wachezaji wenzake

0 comments:
Post a Comment