Joseph Owino akikata keki katika sherehe yake ya kuzaliwa leo mjini Shinyanga
Joseph Owino akimlisha keki beki wa kulia wa Simba ambaye kwasasa anajifua kuwa kiungo wa kati William Lucian 'Gallas' katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika Hotelini kwao mjini Shinyanga leo.
Naye Nahodha wa Simba Hassan Isihaka alimuunga mkono Owino na hapa alikuwa anamlisha keki
Naye Peter Manyika alipata keki kama kawa






0 comments:
Post a Comment