Wednesday, April 15, 2015


KIUNGO mshambuliaji wa Azam fc, Khamis Mcha Khamis amefiwa na baba yake mzazi.

Taarifa iliyopostiwa katika ukarasa rasmi wa facebook wa klabu ya Azam fc, Mabingwa watetezi wa soka Tanzania bara inasomeka:


TANZIA!
Khamis Mcha Khamis 'Viali' ambaye ni mchezaji wa Azam FC, timu za taifa ya zanzibar ' Zanzibar Heroes ' na ile ya Muungano 'Taifa Stars ', amefiwa na Baba yake mzazi hapo jana. Mzee Mcha Khamis amefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu alisumbuliwa na matatizo ya njia ya mkojo, taratibu za mazishi zinafanywa. Klabu inampa pole Viali na familia yake na kuwataka wawe na subra katika kipindi hiki kigumu. Innalillah wa innaillaih rajiun!

Hii inatokea siku tangu wiki moja na siku kadhaa ipite ambapo kiungo mkabaji wa Simba, Jonas Mkude naye alifiwa na baba yake mzazi.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video