Saturday, April 11, 2015


LICHA ya sare ya 1-1 dhidi ya Azam fc uwanja wa Manungu jioni hii, Mtibwa Sugar wameweka rekodi msimu huu kwa kutofungwa mechi yoyote katika ardhi Morogoro mpaka sasa iwe uwanja wa Manungu au Jamhuri.
Timu zote kubwa, Simba, Yanga na Azam zilishawahi kufungwa katika ardhi ya nyumbani kwao maana ya Uwanja wa Taifa kwa Simba na Yanga, na Azam Complex kwa Azam fc.

Haya ndiyo matokeo ya mechi zote walizocheza Manungu na Turiani

Mtibwa Sugar 2-0 Yanga Uwanja wa Jamhuri
Polisi Morogoro 0-0 Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri
Mtibwa Sugar 1-1 Simba SC Uwanja wa Jamhuri
Mtibwa Sugar 3-1 Ndanda fc Uwanja wa Manungu
Mtibwa Sugar 1-0 Mgambo JKT Uwanja wa Manungu
Mtibwa Sugar 2-1 Polisi Moro  Uwanja Manungu
Mtibwa Sugar 1-1 Mbeya City Uwanja wa Manungu
Mtibwa Sugar 1-1 Kagera Sugar Uwanja wa Manungu
Mtibwa Sugar 1-1 Stand United Uwanja wa Manungu
Mtibwa Sugar 1-1 Azam fc Uwanja wa Manungu


0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video