Friday, April 17, 2015



Kahemele (pichani) ameondokewa na mama yake mzazi

TANZIA! 
Patrick Kahemele aliyewahi Meneja na Mratibu Mkuu wa Azam FC, amefiwa na mama yake Mzazi asubuhi hii katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Taratibu za mazishi zinafanywa kupitia kaka wa marehemu ambaye anafahamika kwa jina la Dr.Betram! Klabu inampa pole Mtendaji wake huyu pamoja na familia yake na wafiwa wote kwa ujumla na kuwataka wawe na subra katika kipindi hiki kigumu cha msiba. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihidimiwe!

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video