Wednesday, April 22, 2015


KIUNGO mchezeshaji wa Yanga, Haruna Niyonzima amekiri kuwa ligi ya msimu huu ni ngumu kuliko msimu uliopita kufuatia timu yake kushinda magoli 3-2 jana uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
"Ukiangalia namna walivyocheza Stand, unagunda kuwa ligi ni ngumu msimu huu. Kuna timu hazitaki kushuka daraja kama Stand, sisi tunataka ubingwa, ukiunganisha sababu hizo, mechi zote ni ngumu kwetu". Amesema Niyonzima na kuongeza: "Cha msingi tumepata pointi tatu, tunajitahidi kujiandaa ili tushinde mechi mbili zijazo na kuchukua ubingwa. Tuna changamoto ya majeruhi, lakini sisi ni wamoja na tunajua namna ya kuisaidia timu".
Yanga wanaongoza ligi kwa kujikusanyia pointi 49 kileleni baada ya kucheza mechi 22.
Azam wanashika nafasi ya pili kwa pointi zao 42 baada ya kucheza mechi 22.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video