Tuesday, April 28, 2015

Mashabiki
wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Amis Tambwe.
 Mshambuliaji
Wa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa Polisi Moro, Hassan Mganga katika mchezo
wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam. Yanga ilishinda 4-1 na kujitangazia ubingwa
Shabiki wa Yanga akifurahia bao la pili la timu yake.
 Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya kumalizika kwa mchezona Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 4-1.
 Amis Tambwe akipokea mpira baada ya kufunga”Hat Trick”
 Kocha wa Yanga, Hans Pluijm akishangilia baada ya timu yake kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.
 Mashabiki wakishangilia.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video