Sunday, April 5, 2015

 MECHI ya ligi kuu baina ya Stand United dhidi ya Mtibwa Sugar iliyoahirishwa leo jioni uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga kutokana na mvua kubwa kunyesha dakika chache baada ya kuanza kwa mchezo itamaliziwa kesho saa 2:00 asubuhi.
Mechi hiyo ilivunjika dakika ya 33' na kesho itarudiwa kwa dakika 57' zilizosalia.
Mpaka inavunjika Haruna Chonongo alikuwa ameifungia Stand United bao la kuongoza mapema dakika ya 12'.
Tazama picha za uwanja wa Kambarage ulivyokuwa mpaka muamuzi Ahamad Simba kulazimika kuvunja pambano.
Baada ya mechi ya kesho asubuhi, Simba watacheza na wenyeji Stand United jioni.
Awali mechi hiyo ilipangwa kuchezwa jana, lakini iliahirishwa kutokana na mvua zilizonyesha na uwanja kujaa maji.





0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video