TIMU ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa ufukweni 'Beach Soccer imeichapa Kenya mabao 7-6 katika mechi ya marudiano iliyopigwa jioni ya leo fukwe za Escape One.
Mechi ya kwanz ailiyopigwa Mombasa Kenya wiki hii, Tanzania ilishinda mabao 5-3.
Kwa matokeo ya leo, Tanzania inasonga mbele kwa wastani wa mabao 12-9.
Raundi inayofuata, Tanzania itachuana na timu ya Taifa ya Misri.
0 comments:
Post a Comment