
AMA kweli mahaba niue, mahaba nining'inize! leo ikiwa ni siku ya wapendanao duniania ''Valentine Day', Mshambuliaji wa Mbeya City fc, Paul Nonga anasherekea siku yake ya kuzaliwa.
Baada ya mechi ya Tanga dhidi ya Coastal Union waliyotoka 0-0, Mwandani wa Nonga a.k.a Sweetie Heart ameleta keki ya 'Happy birthday' na bila wasiwasi wachezaji wa Mbeya City wakamuunga mkono bibie katika raha ya kusherehekea na tulizo la moyo wake.
0 comments:
Post a Comment