Saturday, February 21, 2015


MCHEZO wa soka duniani kote umeingiliwa na kamari maarufu kama 'Betting'.
Wapenzi wengi wa soka,  matajiri wakubwa na viongozi wameshajiingiza katika michezo hii na wanaingiza kiasi kikubwa cha faida.

FIFA wamekuwa na wasiwasi sana na kamari hizi, kwani zinaaminika kutumika katika baadhi ya nchi kupanga matokeo.

Nchini Tanzania, mashabiki wengi maarufu kwa jina la 'wazee wa mikeka' wamekuwa wakicheza kamari wakihusisha ligi kubwa duniani kama vile ligi ya England, Hispania, Italia, Ufaransa, n.k.
Ukiwakuta vijana wanabeti, raha sana! wako makini kama vile wapo vyuo vikuu wakijiandaa na mitihani ya mwisho wa mwaka (UE).
Hizi ni baadhi ya picha za vijana wakibeti, umakini wao ni zaidi ya kusoma chuo kujiandaa na mitihani ya kumalizia muhula.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video