Saturday, February 7, 2015

CONGO DR imefanikiwa kushika nafasi ya tatu ya michuano ya mataifa ya Afrika, Afcon 2015 baada ya Kuwafunga wenyeji Guinea ya Ikweta penalti 4-2.
Mshindi alilazimika kupatikana kwa matatu kufuatia timu hizo kutoka sare ya 1-1.
Fainali itapigwa kesho baina ya Ivory Coast na Ghana.
Hii ni marudio ya fainali ya mwaka 1992 ambapo Ivory Coast ilishindana kutwaa ubingwa kwa penalti 12 dhidi ya 11 katika mechi iliyopigwa Dakar, Senegal.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video