MAXIMO, PHIRI SOKA LA TANZANIA LILIWAPENDA LAKINI VIONGOZI WAMEWAPENDA ZAIDI!! #PichaYaSiku Kurwa na Doto kiboko - ni kama wanashindana kwenye sula la kufukuza makocha. Maximo na Phiri soka la Tanzania liliwapenda ila viongozi wa Yanga na Simba wamewapenda zaidi.
0 comments:
Post a Comment