![]() |
Zitto kabwe akiwa na Prof Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili wa mama yake kipenzi Bi Shida Salumu aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi |
![]() |
Ndege Ikiandaliwa Ili kuweza Kuingiza Mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe |


alipokutana na Cardinal Pengo wakati wa kuaga mwili wa Mama yake Zitto Kabwe
PICHA NA Dj Sek Blog
0 comments:
Post a Comment