HUNTELAAR ASHANGILIA BAO KWA `STAILI` YA HATARI, UHOLANZI HAOOOO ROBO FAINALI.. Wamepaa mpaka robo fainali: Klaas-Jan Huntelaar wa Uholanzi akishangilia baada ya kufunga bao la ushindi katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mexico usiku huu.
0 comments:
Post a Comment