Homa ya uchaguzi mkuu wa Simba inazidi kupanda, baada ya Evans Aveva na Micheal Wambura kuchukua fomu za kugombea urais wa klabu
ya Simba SC, leo wanachama maarufu wa klabu hiyo Godfrey Nyange Kaburu
na Joseph Itang’are maarufu kama Mzee Kinesi nao wamechukua fomu za
kugombea umakamu wa rais wa klabu hiyo.
Kaburu na Mzee Kinesi wote waliwahi kushika nafasi za juu kwenye
uongozi uliopita wa Simba, lakini sasa wanaenda kwenye uchaguzi ujao wa
Simba kuamua nani atakuwa makamu wa kwanza kabisa wa klabu hiyo.
Risiti ya malipo ya fomu za kugombea umakamu za Kaburu
0 comments:
Post a Comment