MTOTO WA NYOKA NI NYOKA, RIDHIWANI KIKWETE MBUNGE WA CHALINZE, ASHINDA KWA KISHINDO!! CCM mwendo mdundo jimboni la Chalinze ccm 23,612 kura zote, chadema imeambulia kura 2,983,cuf 476, na 75 ,AFP 59. Hongera Mhe Ridhiwani Kikwete kwa ushindi wa unono...
0 comments:
Post a Comment