Sunday, April 6, 2014

Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ya Tanzania, Ngorongoro Heroes imejiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele kwenye Fanali za Afrika mwakani nchini Senegal, baada ya kulazimisha sare ya bila kufungana na Kenya Uwanja wa Kenyatta, Machakos nchini Kenya jioni hii katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza. Ngorongoro sasa inahitaji hata ushindi wa 1-0 katika mchezo wa marudiano Dar es Salaam ili kusonga mbele. Hongera vijana.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video