Thursday, March 20, 2014


Shujaa; Van Persie kulia akishangilia baada ya kuifungia Man United bao la pili katika ushindi wa 3-0 mabao yote akifunga yeye na kuivusha timu hiyo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Old Trafford
HUWEZI  Kuamini.  Manchester United imekuwa timu ya pili ya England kutinga Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, ikiungana na Chelsea baada ya Arsenal na Manchester City kutolewa.
Hiyo inafuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Olympiacos ya Ugiriki usiku wa jana, Uwanja wa Old Trafford, ambao unawafanya wasonge mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2, baada ya awali kufungwa 2-0 ugenini.
Van Persie alifunga bao la kwanza kwa penalti, baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu katika eneo la hatari, wakati la pili alifunga akiunganisha krosi ya Wayne Rooney na la tatu kwa mpira wa adhabu.
Man United na Dortmund, sasa zimeungana na Real Madrid, Bayern Munich, Barcelona, Atletico Madrid, Chelsea na PSG katika hatua hiyo, ambayo droo yake itapangwa baadaye mwezi ujao..

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video