RAIS KIKWETE AWASILI DODOMA KUONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimlaki Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mjini Dodoma leo mchana ambapo kesho anatarajiwa kulihutubia na kuzindua rasmi Bunge maalum la Katiba.
0 comments:
Post a Comment