
Bwana Erdogan — ambaye anakabiliwa na kashfa kubwa ya ufisadi aliwaambia maelfu ya wafuasi wake katika mkutano wa uchaguzi kuwa hajali kuhusu namna jamii ya kimataifa itakavyochukulia hatua yake .
Neelie Kroes, ambaye ni naibu rais wa tume ya muungano wa Ulaya amesema umamuzi wa kufungwa kwa mtandao huo ni wa kulaumiwa .
Serikali ya Bwana Erdogan imekuwa ikilalamika kuwa mtandao wa Twitter ulipuuza uamuzi wa mahakama ulioitaka viunganishi vya taarifa zake vinashukiwa kurekodi mawasiliano yake binafsi.
CHANZO: BBCSWAHILI
0 comments:
Post a Comment