Monday, March 17, 2014


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
0712461976 au 0764302956
KOCHA wa timu ya vijana ya Everton chini ya miaka 18, Kevin Sheedy ameandika ujumbe mzito katika akaunti yake ya Twite akimkosoa kocha wa Manchester United, David Moyes kuwa  katika maisha yake akiwa Merseyside alikuwa hapendelei kuwatumia vijana wake.
Sheedy  alifanya kazi kwa zaidi ya miaka saba akiwa kocha wa Akademi ya klabu hiyo wakati Moyes akiwa kocha mkuu wa timu ya wakubwa kabla ya kutimkia Man United kurithi mikoba ya Alex Ferguson.
Moyes na Man United yake jana waliangukia pua baada ya kulala kwa kipigo kizito cha mabao 3-0 kutoka kwa majogoo wa jiji, Liverpool, katika dimba lao la Old Trafford
Frustrated figure: Everton Under 18s manager Kevin Sheedy has criticised David Moyes' dealings with the youth team during his time at the club
Kocha wa vijana chini ya miaka 18 wa  Everton  Kevin Sheedy amemkosoa David Moyes kwa kutokuwa na tabia ya kuwatumia vijana
 wakati akifanya naye kazi Everton
Dejected: Moyes looks glum during his side's 3-0 home defeat by rivals Liverpool on Sunday
Kakata tamaa: Moyes akionekana kukata tamaa baada ya kipigo cha mabao 3-0 jana dhidi ya Liverpool
Back at work: Moyes arrives at United's Carrington training complex on Monday morning
 Akirudi kazini: Moyes  akiwasili katika uwanja wa mazoezi wa Man United,  Carrington leo asubuhi 
Game over: Liverpool striker Luis Suarez celebrates scoring his side's third goal as United prepare to kick-off
 Mechi imekwisha: Mshambuliaji wa Liverpool, Luis Suarez akifurahia bao la tatu hapo jana huku mpira ukielekea kumalizika
 HISTORIA YA KEVIN SHEEDY AKIWA EVERTON

sheedy aliichezea everton kwa miaka 10 kuanzia mwaka 1982 hadi 1992, akicheza mechi 314 na kufunga mabao 77.

Winga huyo wa kushoto wa zamani wa Everton alichukua kombe la kwanza ligi daraja la kwanza akiwa  Goodison mwaka  1985 na 1987, Kombe la FA 1984 na kombe la ulaya  1985.
Kwasasa Sheedy anaongoza timu ya vijana chini ya miaka 18 tangu ajiunge nayo 2006.
Nyota huyo wa zamani ambaye aliwachezea Everton zaidi ya mechi 300 ametwiti “Wote lazima mjue, Moyes hapendelei soka la vijana wala wachezaji vijana. Katika miaka yangu 7 ya kufanya naye kazi, hakuonesha kuvutiwa na timu ya vijana”.
Sheedy alisema balaa limewaangukia mashabiki wa Man United ambao kwa muda mrefu walishuhudia kipindi cha miaka 27 cha kocha Alex Ferguson ambapo vijana wengi waling`ara na kuwa tishio.
Ryan Giggs, Paul Scholes, David Beckham, Nicky Butt na  Gary na  Phil Neville waliendelezwa na Ferguson katika Akademi ya Man United na kuja kuwa hatari mpaka kutwaa makombe mengi barani Ulaya.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video