KILA KIJIJI NDANI YA JIMBO LA CHALINZE KUPATA TREKTA KWA AJILI YA KILIMO – RIDHIWANI KIKWETE Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kushoto) akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 18,2014.Katika Mikutano yake kwenye Vijiji vya Mindukene, Msigi na Kisanga ndani ya Jimbo hilo,Ridhiwani Kikwete ameahidi kuhakikisha vijiji vyote kwenye jimbo hilo vinakuwa na matrekta ili kuboresha kilimo.Picha na Othman MichuziMgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mzee Joseph January wa Kijiji cha Kisanda,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze.Picha na Othman MichuziMgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kushoto) akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Msigi,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 18,2014.Picha na Othman Michuzi
0 comments:
Post a Comment