Friday, March 21, 2014

PIX BODI 1Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fisoo akizungumza na waandishi wa habari, hawapo pichani wakati wa mkutano wa waandishi wa habari kuhusu mafanikio yaliyopatikana Bodi ya Filamu kuanzia miaka ya 1930 hadi sasa, kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Consilia Niyibitanga.
PIX BODI 2Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fisoo akionyesha moja ya picha zinazotolewa na wadau wa filamu kama matangazo ya kutambulisha filamu zao sokoni, kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Consilia Niyibitanga.
Picha na Genofeva Matemu – Afisa Mawasiliano Serikalilini, WHVUM

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video