Friday, December 20, 2013

Bondia Lulu Kayage kushoto aki oneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamisi Belege wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Kayage anajiandaa na mpambano wake na Mariam Abdallah utakaofanyika Desemba 25 katika 
ukumbi wa friends corner hotel wakisindikiza mpambano wa Mohamed Matumla na Nassibu Ramadhani Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Hamisi Belege  kushoto aki oneshana umwamba wa kutupiana makonde na Lulu Kayage wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Kayage anajiandaa na mpambano wake na Mariam Abdallah utakaofanyika Desemba 25 katika 
ukumbi wa friends corner hotel wakisindikiza mpambano wa Mohamed Matumla na Nassibu Ramadhani  anaewasimamia kulia ni kocha Sakwe Mtlya Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
NA MWANDISHI WETU
 
BONDIA Lulu Kayage yupo katika maandalizi ya mwisho mwisho kwa ajili ya mpambano wake na Mariam Abdallahutakaofanyika Desemba 25 katika 
ukumbi wa friends corner hotel wakisindikiza mpambano wa Mohamed Matumla na Nassibu Ramadhani 
akizungumzia mpambano huo Kayage amesema kuwa mimi nafanya mazoezi mwaka mzima niwe na mechi niwe sina mechi hivyo nipo fiti wakati wowote kucheza mpambano huo kwani mimi kwa sasa ndie nataraji kuwa bingwa kwa upande wa wanawake
hivyo wanawake wanaoweza kuhimili vishindo vya mchezo wa masumbwi wajitokeze ili kuleta changamoto ya mchezo huo unaopendwa na watu wengi duniani wakiwemo wanawake
unajua mimi naiga staili ya Leila Ali ambaye alikuwa bingwa wa mchezo wa masumbwi duniani na mpaka sasa amestaafu bado ana heshimika hivyo nataka nifate nyayo zake hivyo naomba mashabiki wengi wajitokeze waje kutuunga mkono na kututia moyo wa kuendelea kuupenda mchezo wa masumbwi
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
Manny Paquaio, Saul ‘canelo’ alverez ,Floyd Mayweathar,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengiia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila ‘Super D’ kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha ngum

0 comments:

https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video